Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ruthu 1:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Lakini Ruthu akasema: “Usinisihi nikuache, nirudi na kuacha kukufuata; kwa maana mahali utakapoenda nitaenda, na mahali utakapolala usiku hapo ndipo nitakapolala pia. Watu wako watakuwa watu wangu, na Mungu wako atakuwa Mungu wangu.+ 17 Mahali utakapokufa nitafia hapo, na hapo ndipo nitakapozikwa. Yehova na aniadhibu, tena vikali, ikiwa kitu chochote kitanitenganisha nawe isipokuwa kifo.”

  • 1 Samweli 19:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kwa kuwa Yonathani mwana wa Sauli alimpenda sana Daudi,+ alimwambia hivi Daudi: “Sauli baba yangu anakusudia kukuua. Tafadhali jihadhari itakapofika asubuhi, nenda mahali pa siri na ujifiche huko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki