-
Yakobo 2:2, 3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Kwa maana, ikiwa mtu aliyevaa pete za dhahabu kwenye vidole vyake na aliyevaa mavazi ya kifahari anaingia katika mkutano wenu, na mtu maskini aliyevaa mavazi yenye uchafu anaingia pia, 3 je, mnamtazama kwa kibali yule aliyevaa mavazi ya kifahari na kumwambia: “Wewe kalia kiti hiki kilicho mahali pazuri,” na kumwambia yule maskini: “Wewe simama tu,” au, “Kalia kile kiti pale chini ya kiti changu cha miguu”?+
-