Kumbukumbu la Torati 25:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Ikiwa mtu mwovu anastahili kupigwa viboko,+ mwamuzi atamwagiza alale chini kifudifudi, na mtu huyo atapigwa viboko mbele yake. Idadi ya viboko inapaswa kulingana na uovu aliotenda.
2 Ikiwa mtu mwovu anastahili kupigwa viboko,+ mwamuzi atamwagiza alale chini kifudifudi, na mtu huyo atapigwa viboko mbele yake. Idadi ya viboko inapaswa kulingana na uovu aliotenda.