31 Au mfalme akienda kupigana vita na mfalme mwingine, je, haketi kwanza na kufikiri iwapo akiwa na wanajeshi 10,000 anaweza kumshinda yule anayekuja akiwa na wanajeshi 20,000? 32 Ikiwa hawezi, basi yule mfalme mwingine akiwa bado yuko mbali sana, yeye huwatuma mabalozi ili kufanya amani.