Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 20:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kwa mashauriano,* mipango itafanikiwa,*+

      Na kwa mwelekezo stadi* pigana vita vyako.+

  • Luka 14:31, 32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Au mfalme akienda kupigana vita na mfalme mwingine, je, haketi kwanza na kufikiri iwapo akiwa na wanajeshi 10,000 anaweza kumshinda yule anayekuja akiwa na wanajeshi 20,000? 32 Ikiwa hawezi, basi yule mfalme mwingine akiwa bado yuko mbali sana, yeye huwatuma mabalozi ili kufanya amani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki