Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Danieli 3:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Shadraki, Meshaki, na Abednego wakamjibu mfalme: “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kukujibu kuhusiana na jambo hili. 17 Ikiwa ni lazima iwe hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia anaweza kutuokoa kutoka katika tanuru hilo lenye moto mkali, Ee mfalme, na kutuokoa kutoka mikononi mwako.+

  • Matendo 4:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Walipoona Petro na Yohana wakizungumza kwa ujasiri, ingawa walikuwa watu wasio na elimu* na wa kawaida tu,+ wakashangaa. Nao wakatambua kwamba walikuwa pamoja na Yesu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki