Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 19:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Basi jiji likajaa mvurugo na wote pamoja wakakimbia na kuingia katika ukumbi wa maonyesho, wakiwakokota Gayo na Aristarko,+ Wamakedonia waliokuwa wakisafiri pamoja na Paulo.

  • Matendo 19:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Mwishowe, karani wa jiji akaunyamazisha umati, kisha akasema: “Watu wa Efeso, kwa kweli ni nani kati ya wanadamu ambaye hajui kwamba jiji la Efeso ndilo mlinzi wa hekalu la Artemi mkuu na sanamu iliyoanguka kutoka mbinguni?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki