Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mhubiri 10:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Yenye furaha ni nchi ambayo mfalme wake ni mwana wa watu mashuhuri na wakuu wake hula wakati unaofaa ili wapate nguvu, si walewe!+

  • Isaya 28:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Na hawa pia wanapotea njia kwa sababu ya divai;

      Wanapepesuka kwa sababu ya vileo vyao.

      Kuhani na nabii wanapotea njia kwa sababu ya kileo;

      Divai inawavuruga,

      Nao wanapepesuka kwa sababu ya kileo chao;

      Maono yao yanawafanya wapotee njia,

      Nao wanajikwaa wanapohukumu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki