Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 9:17-19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Sulemani akalijenga* jiji la Gezeri, Beth-horoni la Chini,+ 18 Baalathi,+ na Tamari lililo nyikani, yaliyokuwa nchini, 19 na pia majiji yote ya Sulemani yenye maghala, majiji ya magari ya vita,+ majiji ya wapanda farasi, na chochote ambacho Sulemani alitamani kujenga huko Yerusalemu, Lebanoni, na katika nchi yote iliyokuwa chini ya mamlaka yake.

  • 2 Mambo ya Nyakati 9:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mfalme Sulemani alitengeneza ngao kubwa 200 za dhahabu iliyochanganywa na madini mengine+ (kwa kila ngao alitumia shekeli 600* za dhahabu hiyo)+ 16 na ngao ndogo* 300 za dhahabu iliyochanganywa na madini mengine (kwa kila ngao ndogo alitumia mina tatu* za dhahabu). Kisha mfalme akaziweka katika Nyumba ya Msitu wa Lebanoni.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki