-
1 Wafalme 12:13, 14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Lakini mfalme akawajibu watu kwa ukali, akaukataa ushauri aliopewa na wanaume wazee. 14 Akawajibu kama alivyoshauriwa na vijana wa rika lake, na kusema: “Baba yangu aliifanya nira yenu kuwa nzito, lakini mimi nitazidisha uzito wa nira yenu. Baba yangu aliwaadhibu kwa mijeledi, lakini mimi nitawaadhibu kwa mijeledi yenye miiba.”
-