-
Mwanzo 50:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Kisha wakafika kwenye uwanja wa kupuria wa Atadi, katika eneo la Yordani, na huko wakafanya maombolezo makubwa sana na kulia kwa uchungu, naye akaendelea kumwombolezea baba yake kwa siku saba.
-