Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 10:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi malkia wa Sheba alisikia habari za Sulemani kuhusiana na jina la Yehova,+ kwa hiyo akaja kumjaribu kwa maswali magumu.*+

  • 1 Wafalme 10:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kisha Sulemani akajibu maswali yake yote. Hakuna jambo lolote lililokuwa gumu sana* kwa mfalme asiweze kumweleza.

  • 1 Wafalme 10:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Basi akamwambia mfalme: “Habari nilizosikia katika nchi yangu kuhusu mafanikio* yako na kuhusu hekima yako zilikuwa za kweli.

  • 1 Wafalme 10:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Wenye furaha ni watu wako, na wenye furaha ni watumishi wako wanaosimama mbele yako daima, wakiisikiliza hekima yako!+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki