Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 2:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kisha Yehova Mungu akamuumba mtu kutokana na mavumbi+ ya ardhi na kupuliza katika mianzi ya pua yake pumzi ya uhai,+ na mtu huyo akawa mtu aliye hai.*+

  • Mwanzo 2:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Sasa Yehova Mungu aliumba kutoka mavumbini kila mnyama wa mwituni na kila kiumbe anayeruka angani, naye akaanza kuwaleta kwa mtu huyo ili aamue jina atakalompa kila kiumbe; na jina lolote ambalo mtu huyo alimpa kila kiumbe aliye hai, likawa jina lake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki