-
Wimbo wa Sulemani 5:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Niliinuka ili nimfungulie mpenzi wangu;
Mikono yangu ikadondosha manemane,
Na vidole vyangu manemane ya maji,
Ikadondoka kwenye vitasa vya mlango.
-