Wimbo wa Sulemani 6:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 “Nilishuka kwenye bustani ya miti yenye kokwa+Ili nione machipukizi bondeni,Nione ikiwa mzabibu umechipuaIkiwa mikomamanga imechanua.
11 “Nilishuka kwenye bustani ya miti yenye kokwa+Ili nione machipukizi bondeni,Nione ikiwa mzabibu umechipuaIkiwa mikomamanga imechanua.