Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 5:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi Hiramu akampelekea Sulemani ujumbe huu: “Nimepokea ujumbe ulionitumia. Nitatimiza mambo yote unayotaka ili upate mbao za mierezi na za miberoshi.+ 9 Watumishi wangu watateremsha magogo kutoka Lebanoni hadi baharini, nami nitayafunga magogo hayo mafungu-mafungu ili yaelee baharini mpaka mahali utakaponiambia. Nitaagiza yafunguliwe, kisha unaweza kuyabeba. Na wewe utanipa chakula nitakachoomba kwa ajili ya nyumba yangu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki