Wimbo wa Sulemani 4:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 “Tazama! Wewe ni mrembo, mpenzi wangu. Tazama! Wewe ni mrembo. Macho yako ni macho ya njiwa nyuma ya shela yako. Nywele zako ni kama kundi la mbuziWashukao chini kwenye milima ya Gileadi.+
4 “Tazama! Wewe ni mrembo, mpenzi wangu. Tazama! Wewe ni mrembo. Macho yako ni macho ya njiwa nyuma ya shela yako. Nywele zako ni kama kundi la mbuziWashukao chini kwenye milima ya Gileadi.+