Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 12:15-18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Yesu alipojua jambo hilo, akaondoka hapo. Watu wengi wakamfuata,+ naye akawaponya wote, 16 lakini akawaagiza kwa kusisitiza wasimtangaze,+ 17 ili kutimiza maneno haya yaliyosemwa kupitia nabii Isaya:

      18 “Tazama! Mtumishi wangu+ niliyemchagua, mpendwa wangu, ambaye nimemkubali!*+ Nitaweka roho yangu juu yake,+ naye atayatangazia mataifa haki.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki