Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 44:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ni nani anayeweza kutengeneza mungu au sanamu ya chuma*

      Ambayo haina faida yoyote?+

      11 Tazameni! Wenzake wote wataaibishwa!+

      Mafundi ni wanadamu tu.

      Wote na wakusanyike na kusimama.

      Watashikwa na hofu na kuaibishwa pamoja.

  • Isaya 45:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Wote wataaibishwa na kufedheheshwa;

      Watengenezaji wote wa sanamu wataenda zao kwa aibu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki