Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 18:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Basi wakamchukua huyo ng’ombe dume mchanga waliyepewa, wakamtayarisha, na kuendelea kuliita jina la Baali kuanzia asubuhi mpaka adhuhuri, wakisema: “Ee Baali, tujibu!” Lakini hapakuwa na sauti yoyote, wala yeyote aliyewajibu.+ Nao wakazidi kurukaruka kuizunguka madhabahu waliyokuwa wametengeneza.

  • Isaya 37:37, 38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Basi Mfalme Senakeribu wa Ashuru akaondoka, akarudi Ninawi+ na kukaa huko.+ 38 Na alipokuwa akiinama katika nyumba ya* Nisroki mungu wake, watoto wake mwenyewe wa kiume Adrameleki na Shareza, walimuua kwa upanga+ na kutorokea nchi ya Ararati.+ Na Esar-hadoni+ mwanawe akawa mfalme baada yake.

  • Yona 1:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Mabaharia wakaogopa sana hivi kwamba kila mmoja wao akaanza kumlilia mungu wake amsaidie. Nao wakaanza kutupa baharini vitu vilivyokuwa melini ili kupunguza uzito wa meli.+ Lakini Yona alikuwa ameshuka chini ndani ya meli,* ambamo alikuwa amelala na kushikwa na usingizi mzito.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki