Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 42:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Tazameni, mambo ya kwanza yametokea;

      Sasa ninatangaza mambo mapya.

      Kabla hayajatokea, ninawaambia kuyahusu.”+

  • Isaya 45:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Toeni taarifa yenu, leteni kesi yenu.

      Na washauriane pamoja kwa umoja.

      Ni nani aliyetabiri jambo hili zamani za kale

      Na kulitangaza tangu nyakati zilizopita?

      Je, si mimi, Yehova?

      Hakuna Mungu mwingine ila mimi;

      Mungu mwadilifu na Mwokozi,+ hakuna mwingine isipokuwa mimi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki