Kumbukumbu la Torati 28:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+ Kumbukumbu la Torati 28:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 “Kikapu chenu+ na bakuli lenu la kukandia+ vitalaaniwa. Yoeli 1:17 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 17 Mbegu* zimenyauka chini ya sepetu zao. Maghala yamebaki ukiwa. Maghala ya nafaka yamebomolewa, kwa maana nafaka imekauka.
15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+
17 Mbegu* zimenyauka chini ya sepetu zao. Maghala yamebaki ukiwa. Maghala ya nafaka yamebomolewa, kwa maana nafaka imekauka.