Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 basi, mimi nitawatendea mambo haya: nitawaadhibu kwa taabu, kwa kifua kikuu na homa kali, na kufanya macho yenu yadhoofike na uhai wenu uzorote.* Mtapanda mbegu zenu bure, kwa maana maadui wenu watazila.+ 17 Nitawakataa,* nanyi mtashindwa na maadui wenu;+ na wale wanaowachukia ninyi watawakanyaga-kanyaga,+ nanyi mtakimbia bila kukimbizwa na mtu.+

  • Danieli 9:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Waisraeli wote wamekiuka Sheria yako na kukuacha kwa kutotii sauti yako, hivi kwamba ukatumwagia laana na kiapo kilichoandikwa katika Sheria ya Musa mtumishi wa Mungu wa kweli,+ kwa maana tumekutendea Wewe dhambi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki