- 
	                        
            
            Isaya 61:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
3 Kuwaandalia mahitaji wale wanaoombolezea Sayuni,
Kuwapa vazi la kichwani badala ya majivu,
Mafuta ya furaha badala ya maombolezo,
Vazi la sifa badala ya roho iliyovunjika.
 
 -