Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 102:25-27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Zamani za kale uliiweka misingi ya dunia,

      Na mbingu ni kazi ya mikono yako.+

      26 Zitaangamia, lakini wewe utadumu;

      Zote zitachakaa kama vazi.

      Na kama nguo utazibadili, nazo zitatokomea.

      27 Lakini wewe ni yuleyule, na miaka yako haitaisha kamwe.+

  • Mathayo 24:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Mbingu na dunia zitapitilia mbali, lakini maneno yangu hayatapitilia mbali kamwe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki