Isaya 25:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Katika mlima huu+ Yehova wa majeshi atawaandalia watu wa mataifa yoteKaramu ya vyakula vinono,+Karamu ya divai bora,*Ya vyakula vinono vilivyojazwa urojorojo,Ya divai bora, iliyochujwa.
6 Katika mlima huu+ Yehova wa majeshi atawaandalia watu wa mataifa yoteKaramu ya vyakula vinono,+Karamu ya divai bora,*Ya vyakula vinono vilivyojazwa urojorojo,Ya divai bora, iliyochujwa.