Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 32:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Kwa maana mtu mpumbavu atazungumza upumbavu,

      Na moyo wake utatunga mambo yanayodhuru,+

      Ili kuendeleza uasi imani* na kusema mambo mapotovu dhidi ya Yehova,

      Kusababisha mwenye njaa akae njaa

      Na kumnyima mwenye kiu maji ya kunywa.

  • Isaya 59:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Kwa maana viganja vyenu vimechafuliwa kwa damu+

      Na vidole vyenu kwa kosa.

      Midomo yenu inasema uwongo,+ na ulimi wenu unanong’ona ukosefu wa uadilifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki