Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 5:12-14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “‘Ishike siku ya Sabato na uione kuwa takatifu, kama mimi Yehova Mungu wako nilivyokuamuru.+ 13 Fanya shughuli na kazi zako zote kwa siku sita,+ 14 lakini siku ya saba ni sabato kwa Yehova Mungu wako.+ Usifanye kazi yoyote,+ wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala kijakazi wako, wala ng’ombe dume wako, wala punda wako, wala mnyama yeyote unayemfuga, wala mgeni anayekaa katika majiji*+ yenu, ili mtumwa wako na kijakazi wako wapumzike kama wewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki