Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 5:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Tembeeni huku na huku katika barabara za Yerusalemu.

      Tazameni pande zote mwone.

      Tafuteni katika viwanja vyake vya jiji

      Ikiwa mnaweza kumpata mtu anayetenda haki,+

      Yeyote anayejitahidi kuwa mwaminifu,

      Nami nitalisamehe jiji hilo.

  • Ezekieli 22:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 “‘Nilikuwa nikitafuta kati yao mtu ambaye angeurekebisha ukuta wa mawe au asimame mbele yangu katika shimo ukutani kwa ajili ya nchi, ili nisiiangamize,+ lakini sikumpata yeyote.

  • Mika 7:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Mtu mshikamanifu ameangamia* duniani;

      Miongoni mwa wanadamu hakuna yeyote aliye mnyoofu.+

      Wote huvizia ili wamwage damu.+

      Kila mmoja anamwinda ndugu yake mwenyewe kwa wavu wa kukokotwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki