Isaya 30:12, 13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Kwa hiyo Mtakatifu wa Israeli anasema hivi: “Kwa kuwa mnalikataa neno hili+Nanyi mnatumaini ulaghai na udanganyifuNa mnayategemea mambo hayo,+13 Kwa hiyo uovu huu utakuwa kwenu kama ukuta uliobomoka,Kama ukuta mrefu uliofura unaokaribia kuanguka. Utaanguka ghafla, mara moja.
12 Kwa hiyo Mtakatifu wa Israeli anasema hivi: “Kwa kuwa mnalikataa neno hili+Nanyi mnatumaini ulaghai na udanganyifuNa mnayategemea mambo hayo,+13 Kwa hiyo uovu huu utakuwa kwenu kama ukuta uliobomoka,Kama ukuta mrefu uliofura unaokaribia kuanguka. Utaanguka ghafla, mara moja.