Yeremia 6:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Kama tangi linavyohifadhi maji yake yakiwa baridi,Ndivyo anavyohifadhi uovu wake ukiwa baridi. Ukatili na maangamizi yanasikiwa ndani yake;+Ugonjwa na tauni viko mbele zangu daima. Mika 6:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Kwa maana matajiri wake wamejaa ukatili,Na wakaaji wake husema uwongo;+Ulimi wao ni mdanganyifu kinywani mwao.+
7 Kama tangi linavyohifadhi maji yake yakiwa baridi,Ndivyo anavyohifadhi uovu wake ukiwa baridi. Ukatili na maangamizi yanasikiwa ndani yake;+Ugonjwa na tauni viko mbele zangu daima.
12 Kwa maana matajiri wake wamejaa ukatili,Na wakaaji wake husema uwongo;+Ulimi wao ni mdanganyifu kinywani mwao.+