-
Ufunuo 14:19, 20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Yule malaika akatia mundu wake katika dunia na kuukusanya mzabibu wa dunia, naye akautupa ndani ya shinikizo kubwa la divai la hasira ya Mungu.+ 20 Lile shinikizo la divai likakanyagiwa nje ya jiji, na damu ikatoka katika lile shinikizo la divai hata kufikia juu kwenye lijamu za farasi umbali wa stadia 1,600.*
-