Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 51:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  9 Amka! Amka! Jivike nguvu,

      Ee mkono wa Yehova!+

      Amka kama katika siku za zamani za kale, kama katika vizazi vilivyopita.

      Je, si wewe uliyemvunja Rahabu*+ vipandevipande,

      Uliyemchoma kwa silaha yule mnyama mkubwa sana wa baharini?+

  • Isaya 52:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Yehova ameufunua wazi mkono wake mtakatifu mbele ya macho ya mataifa yote;+

      Miisho yote ya dunia itayaona matendo ya wokovu ya* Mungu wetu.+

  • Isaya 59:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Aliona kwamba hakuna mtu,

      Naye akashangaa kwamba hakuna yeyote aliyeingilia kati,

      Basi mkono wake mwenyewe ukaleta wokovu,*

      Na uadilifu wake mwenyewe ukamtegemeza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki