Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Amosi 2:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Wanavikanyaga-kanyaga vichwa vya watu wa hali ya chini katika mavumbi ya dunia,+

      Nao wanaziba njia ya wapole.+

      Mtu na baba yake wanalala na msichana yuleyule,

      Na hivyo kulichafua jina langu takatifu.

       8 Wanajinyoosha kando ya kila madhabahu+ juu ya nguo walizochukua kwa nguvu kutoka kwa maskini kama dhamana ya mkopo;*+

      Na divai wanayokunywa katika nyumba ya* miungu yao waliipata kutoka kwa wale waliowatoza faini.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki