Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 10:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ole wao wanaotunga sheria zinazodhuru,*+

      Ambao sikuzote huandika amri zinazokandamiza,

       2 Ili kuwanyima maskini haki zao za kisheria,

      Ili kuwanyang’anya haki watu wa hali ya chini kati ya watu wangu,+

      Kuwafanya wajane kuwa nyara yao

      Na kuwapora mayatima!+

  • Amosi 5:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Kwa maana ninajua jinsi maasi yenu* yalivyo mengi

      Na jinsi dhambi zenu zilivyo kubwa

      —Mnawanyanyasa waadilifu,

      Mnapokea rushwa,*

      Nanyi mnawanyima maskini haki zao kwenye lango la jiji.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki