Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 32:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Ndipo Yehova akamtuma malaika, na malaika huyo akamwangamiza kabisa kila shujaa hodari,+ kiongozi, na mkuu katika kambi ya mfalme wa Ashuru, hivi kwamba akarudi katika nchi yake akiwa ameaibika. Baadaye aliingia katika nyumba ya* mungu wake, na humo baadhi ya wanawe mwenyewe wakamuua kwa upanga.+

  • Isaya 30:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Na kila pigo la fimbo yake ya adhabu

      Ambalo Yehova ataleta juu ya Ashuru

      Litaambatana na matari na vinubi+

      Anapoutikisa mkono wake dhidi yao vitani.+

  • Nahumu 3:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Kila mtu atakayekuona atakukimbia+ na kusema,

      ‘Jiji la Ninawi limeangamizwa!

      Ni nani atakayelihurumia?’

      Nitakutafutia wapi wafariji?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki