Isaya 25:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Kwa maana mkono wa Yehova utatulia juu ya mlima huu,+Na Moabu itakanyagwa-kanyagwa mahali pake+Kama nyasi zinavyokanyagwa-kanyagwa na kuwa rundo la mbolea.
10 Kwa maana mkono wa Yehova utatulia juu ya mlima huu,+Na Moabu itakanyagwa-kanyagwa mahali pake+Kama nyasi zinavyokanyagwa-kanyagwa na kuwa rundo la mbolea.