-
Yoshua 13:15-17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Ndipo Musa akawapa urithi watu wa kabila la Rubeni kulingana na koo zao, 16 na eneo lao lilianzia Aroeri, kwenye ukingo wa Bonde* la Arnoni, na jiji lililo katikati ya bonde hilo, na uwanda wote wa juu wa Medeba; 17 Heshboni na miji yake yote+ iliyo kwenye uwanda wa juu, Diboni, Bamoth-baali, Beth-baal-meoni,+
-