Ezekieli 30:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Nitaigeuza mifereji ya Nile+ iwe nchi kavu na kuiuza nchi mikononi mwa watu waovu. Nitaifanya nchi na kila kitu kilichomo kiwe ukiwa kwa mkono wa wageni.+ Mimi mwenyewe, Yehova, nimesema.’ Zekaria 10:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ni lazima apite baharini kwa msukosuko;Na humo baharini atayapiga mawimbi yatulie;+Vilindi vyote vya Mto Nile vitakauka. Kiburi cha Ashuru kitashushwa,Na fimbo ya mfalme wa Misri itaondoka.+
12 Nitaigeuza mifereji ya Nile+ iwe nchi kavu na kuiuza nchi mikononi mwa watu waovu. Nitaifanya nchi na kila kitu kilichomo kiwe ukiwa kwa mkono wa wageni.+ Mimi mwenyewe, Yehova, nimesema.’
11 Ni lazima apite baharini kwa msukosuko;Na humo baharini atayapiga mawimbi yatulie;+Vilindi vyote vya Mto Nile vitakauka. Kiburi cha Ashuru kitashushwa,Na fimbo ya mfalme wa Misri itaondoka.+