Kumbukumbu la Torati 11:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 “Nchi mnayoenda kumiliki si kama nchi ya Misri mlikotoka, ambako mlikuwa mkipanda mbegu zenu na kuzimwagilia maji kwa mguu wenu,* kama bustani ya mboga.
10 “Nchi mnayoenda kumiliki si kama nchi ya Misri mlikotoka, ambako mlikuwa mkipanda mbegu zenu na kuzimwagilia maji kwa mguu wenu,* kama bustani ya mboga.