Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 10:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “Yehova atakapomaliza kazi yake yote kwenye Mlima Sayuni na Yerusalemu, atamwadhibu* mfalme wa Ashuru kwa sababu ya moyo wake wenye dharau na macho yake yanayotazama kwa kiburi na majivuno.+

  • Nahumu 3:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Wachungaji wako wanasinzia, Ee mfalme wa Ashuru;

      Wakuu wako wanakaa katika makao yao.

      Watu wako wametawanyika milimani,

      Na hakuna yeyote anayewakusanya pamoja.+

  • Sefania 2:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Ataunyoosha mkono wake kuelekea kaskazini na kuangamiza Ashuru,

      Naye atalifanya Ninawi liwe ukiwa,+ liwe kavu kama jangwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki