-
Ezekieli 7:12, 13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Wakati utakuja, siku hiyo itafika. Mnunuzi asishangilie, na muuzaji asiomboleze, kwa maana kuna ghadhabu dhidi ya umati wao wote.*+ 13 Kwa maana muuzaji hatakirudia kitu alichouza, hata uhai wake ukiokolewa, kwa maana maono hayo yanahusu umati wote. Hakuna atakayerudi, na kwa sababu ya kosa lake,* hakuna atakayeokoa uhai wake.
-