-
Ezekieli 7:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kwa maana kwa kile kilichouzwa muuzaji mwenyewe hatakirudia, uhai wao ukiwa bado katikati ya walio hai; kwa maana maono ni ya umati wake wote. Hakuna atakayerudi, na kila mmoja wao hatakuwa na uhai wake mwenyewe kupitia kwa kosa lake mwenyewe.
-