Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Yehova atawatawanya miongoni mwa mataifa,+ na ni watu wachache tu kati yenu watakaookoka+ miongoni mwa mataifa ambayo Yehova atawafukuza ninyi mwende miongoni mwao.

  • Kumbukumbu la Torati 28:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Lakini msipoisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu kwa kuwa waangalifu kutenda amri zake zote na sheria zake ninazowaamuru leo, laana hizi zote zitawajia na kuwatangulia:+

  • Kumbukumbu la Torati 28:62
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 62 Ingawa mmekuwa wengi sana kama nyota za mbinguni,+ ni wachache sana miongoni mwenu watakaobaki,+ kwa sababu hamkuisikiliza sauti ya Yehova Mungu wenu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki