Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 12:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Yehova alipoona kwamba wamejinyenyekeza, neno la Yehova likamjia Shemaya likisema: “Wamejinyenyekeza. Sitawaangamiza,+ na baada ya muda mfupi nitawaokoa. Sitalimwagia jiji la Yerusalemu ghadhabu yangu kupitia Shishaki. 8 Lakini watakuwa watumishi wake, ili wajue tofauti kati ya kunitumikia mimi na kuwatumikia wafalme wa* nchi nyingine.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki