Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 7:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Waliendelea kumjia Noa ndani ya safina, wawili wawili, kila aina ya kiumbe mwenye pumzi ya uhai.* 16 Basi wakaingia ndani, dume na jike, viumbe wa kila aina, kama Mungu alivyokuwa amemwamuru. Baada ya hayo Yehova akaufunga mlango.

  • Kutoka 12:22, 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kisha mtachovya tita la majani ya hisopo katika damu iliyo ndani ya beseni na kupiga kizingiti cha juu cha mlango na miimo yake miwili kwa tita hilo lenye damu; na mtu yeyote kati yenu asitoke nje ya mlango wa nyumba yake mpaka asubuhi. 23 Kisha Yehova atakapopita ili kuwapiga Wamisri na kuiona damu kwenye kizingiti cha juu cha mlango na kwenye miimo yake miwili, kwa hakika Yehova atapita juu ya mlango wenu, naye hataruhusu pigo la kifo liingie* katika nyumba zenu.+

  • Methali 18:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Jina la Yehova ni mnara wenye nguvu.+

      Mwadilifu hukimbilia humo na kupata ulinzi.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki