-
Isaya 35:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Kwa maana maji yatabubujika nyikani,
Na vijito katika jangwa tambarare.
-
-
Isaya 41:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Nitaigeuza nyika kuwa dimbwi la maji lenye matete
Na nchi isiyo na maji kuwa chemchemi za maji.+
-