Yoeli 2:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Nanyi mtalazimika kujua kwamba nimo miongoni mwa Waisraeli+Na kwamba mimi ni Yehova Mungu wenu+—hakuna mwingine! Watu wangu hawataaibishwa tena kamwe.
27 Nanyi mtalazimika kujua kwamba nimo miongoni mwa Waisraeli+Na kwamba mimi ni Yehova Mungu wenu+—hakuna mwingine! Watu wangu hawataaibishwa tena kamwe.