Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 32:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Ndipo Yehova akamtuma malaika, na malaika huyo akamwangamiza kabisa kila shujaa hodari,+ kiongozi, na mkuu katika kambi ya mfalme wa Ashuru, hivi kwamba akarudi katika nchi yake akiwa ameaibika. Baadaye aliingia katika nyumba ya* mungu wake, na humo baadhi ya wanawe mwenyewe wakamuua kwa upanga.+

  • Isaya 37:37, 38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Basi Mfalme Senakeribu wa Ashuru akaondoka, akarudi Ninawi+ na kukaa huko.+ 38 Na alipokuwa akiinama katika nyumba ya* Nisroki mungu wake, watoto wake mwenyewe wa kiume Adrameleki na Shareza, walimuua kwa upanga+ na kutorokea nchi ya Ararati.+ Na Esar-hadoni+ mwanawe akawa mfalme baada yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki