-
Hosea 11:8, 9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Enyi Waefraimu, kwa nini niwaache?+
Enyi Waisraeli, kwa nini niwatie mikononi mwa maadui wenu?
Kwa nini niwatendee kama Adma?
Kwa nini niwafanye kama Seboiimu?+
Moyo wangu umebadilika;
Na pia nimechochewa kuwahurumia.+
9 Sitamwaga hasira yangu inayowaka.
Sitawaangamiza tena Waefraimu,+
Kwa maana mimi ni Mungu, mimi si mwanadamu,
Mtakatifu aliye miongoni mwenu;
Nami sitawashambulia kwa hasira.
-